Google PlusRSS FeedEmail

MTOTO MWINGINE WA MAAJABU AZALIWA




Miezi michache baada ya kuzaliwa mtoto wa kiume akiwa ameshikilia Quran, mtoto mwingine wa maajabu amezaliwa katika mji wa Lagos. Safari hii mtoto huyo ambaye ni wa kiume alizaliwa Ijumaa, Agosti 17,2012 katika kijiji cha Alapere, Ketu, lagos

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, mtoto huyo alizaliwa ramadhani ya 29 katika hospitali ya Sekinah.

Inasemekana mtoto huyo alizaliwa kwa njia ya operesheni. Siku mbili baada ya kuzaliwa kwa mtoto huyo, mmoja wa rafiki wa familia ya mtoto huyo aliyeenda kuwatembelea aligundua kuwa mtoto huyo alikuwa na maandishi ya kiarabu katika sikio lake la kushoto yaliyosomeka Allah.

Madaktari walithibitisha kuwa mama mzazi wa mtoto huyo na mtoto wake wote wako katika hali nzuri.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging