Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA :BADO ANAMUAZA CHRIS BROWN


Baada ya kutolewa taarifa kuwa Rihanna anamkumbuka Chris Brown, sasa ameibuka na kudai kuwa bado anampenda.Kauli hiyo imekuja hivi karibuni baada ya Oprah kufanya mahojiano na Rihanna katika visiwa vya Barbados

Katika mahojiano hayo Rihanna alisema bado anampenda mpenzi wake huyo wa zamani ,Rihanna na Brown waliachana mwaka 2009 baada ya kugombana hatua iliyochangia Brown kumpiga na kumuumiza vibaya mpenzi wake huyo,katika mahojiano hayo ya mwisho kuhusu maisha ya Rihanna alisema kuwa japokuwa miaka mitatu imepita tangu waachane lakini bado anampenda

Rihanna alisema “sisi ni marafiki wa karibu tunajaribu kujijenga upya na kuamini bado tunapendane ni hivyo tu” alisema Rihanna aliongeza kuwa “naamini kuwa ni mpenzi wangu wa maisha yangu”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging