Jaji aliyekuwa akisikiliza shauli hilo alimwachia huru Usher ambaye mara kadhaa alimwaga machozi mahakamani hapo jambo linaloonekana kupingwa na Tameka
Tayari Tameka ameshaandika katika ukurasa wake wa Twiter kuwa pesa si lolote kwake cha msingi anatafuta haki ya watoto wake