Google PlusRSS FeedEmail

DIRTY GAME YA MR CHUZI NDIO GHALI ZAIDI..

Dirty game filamu mpya  iliyoandaliwa na kampuni ya Tuesday Entertainment Ltd ya Jijini Dar es salaam inawezekana ndio filamu ambayo imeaandaliwa kwa gharama zaidi kulinganisha na filamu zinazoendelea kutengenezwa na watayarishaji wa filamu hapa Nchini ...Unajua gharama zilikuwa kubwa kutokana na location tulizotumia mwanzo wa filamu hadi mwisho, filamu ya Dirty Game imerekodiwa katika Boti na ndege kwa hiyo katika ndege tulitumia kamera zaidi 10 kwa ajili ilikuwa kila kitu kionekane bila kurudia tukio hilo kwani kuwa hewani ni gharama,”anasema Mr. Chuzi.Filamu ya Dirty Game imerekodiwa katika bahari na angani kutoka Dar es salaam kuelekea Zanzibar, katika filamu hiyo wasanii walioshiriki katika kuigiza ni Tuesday Kihangala ‘Mr. chuzi’, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, Michael Philipo ‘Kojack’, Bad boy, Mzee Bomba na wasanii kutoka kampuni ya Tuesday...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging