Google PlusRSS FeedEmail

KREW KUTOKA KENYA WAPIGA KAZI NA DX WA NOIZMEKAH

Mc's toka Kenya wanaokwenda kwa jina "KREW" wanadrop na kazi mpya zilizoundwa pande za noizmekah. chini ya defxtro wakiwashirikisha Banx katika "nikiwa mtaa" na pini la "weekend" wakimshirikisha mwanadada Narx" katika kiitikio. KREW" ni umoja wa wasanii wawili; Junior na Jaypizzo wenye mwamko zaidi katika kufanya muziki wa Hiphop na crunk, Tunafurahi kuvuka border kimuziki kwa maana safari yetu ndio kwanza tumeanza,Much Respect kwa Mkurugenzi wa Mambo Jambo Radio Arusha alietupa connection kuwakilisha katika Summer Jam siku ya Iddi pamoja na kutuwezesha kurekodi nyimbo tatu kwa DefXtro.Hii ni hatua nzuri kwetu maana sasa tracks zimeongezeka mbali na "High School," Muggin, 'na Bye Baby",ambazo tulisharecord Underdawg Productions na Sniper Recs Huku Kenya..For interviews/Booking/Projects wasiliana +254 725784770 na +254 725085980...Enjoy.....

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging