Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA YA KUFIKISHWA KATIKA HOSPITAL YA HINDU MANDAL BI KIDUDE HALI YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Msanii maarufu nchini Bi Kidude amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam na anaendelea vyema na matibabu, Bi Kidude, ambaye aliletwa hospitalini hapo juzi baada ya kupatwa na homa ya ghafla huko visiwani Zanzibar, alikutwa na ripota wetu katika hali nzuri, na alikuwa amechangamka sana wakati akiongea nasi. Tutaendelea kuwapasha hali yake kadri tuwezavyo Tunaomba Mola ampatie afya njema..Bibi yetu huyu ambaye ni nguli wa muziki wa Taarab asilia..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging