![]() |
| Mwili wa marehemu Sharo Milionea ukiwa ndani ya Jeneza ukisomewa dua teyari kwenda kuzikwa |
![]() |
| Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa na wasanii wenzie kushoto kwake ni JB wakiwa maeneo ya makaburini |
![]() |
| Mwili wa marehemu Sharo Milionea ukisomewa duwa |
| Bw. Nape Nauye alihudhuria mazishi ya msanii maarufu Sharo Milionea |
| Msanii wa Bongo Movi Jaqrine Wolpa alihudhuria mazishi ya msanii huyo |










