Google PlusRSS FeedEmail

HAFSA KAZINJA APIGA HATUA KATIKA SEKTA YA MUZIKI




Msanii wa muziki wa kizazi kipya mkali wa miondoko ya zouk, Hafsa Kazinja ameibuka na kibao kipya kiitwacho 'Songa mbele' alichorekodi nchini marekani baada ya kimya cha muda mrefu

Akizungumza jijini Dar es Salaam alisema kuwa kibao hicho kimeshatengenezwa video nchini marekani na hivi sasa inatarajiwa kuchezwa katika televisheni za hapa nchini wakati wowote

"Baada ya kimya cha muda mrefu nimetoa video niliyoitengeneza marekani katika mahadhi ya Zouk, mashabiki wangu walionimisi hivi sasa watarajie kupata kitu kipya toka kwangu " alisema

Alisema kibao hiko kimerekodiwa laivu kimepigwa solo na msanii mmoja mkali wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aishiye nchini Marekani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging