Google PlusRSS FeedEmail

ZAMU YA BRANDY KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA




Brandy anakila sababu ya kufurahia kipindi hiki cha mwisho wa mwaka baada ya bosi wa maswala ya muziki Ryan Press kumvisha pete ya uchumba

Muimbaji huyo hakufanya siri kuhusu dhamira yake ya kuwa mke mpya wa Ryan akiliambia jarida la Sister2sister mwezi agosti kwamba likuwa tayari kakubali ombi la mchumba wake kutoka kwa mwanaume huyo

Hii itakuwa ndoa ya kwanza kwa Brandy (33)ambaye anabinti mwenye umri wa miaka (10)Syrai aliyezaa na boifrendi wake wa zamani , Robert Smith ambaye alidanganya kuwa walikuwa wamefunga ndoa ya siri baada ya kubaini kuwa anaujauzito na huku akihofia jamii itamuona si mfano mzuri wa kuigwa kwa kuzaa kabla ya ndoa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging