JENNIFER LOPEZ AZIDI KUVUTIA
Nyota Jennifer Lopez anazidi kuonekana kuwa na mvuto wa kipekee hayo yamejidhihirisha baada ya kuonekana amevalia gauni refu lenye randi nyeupe katika red capert katika tukio la 'Flim District's' Hollwood Resort and Casino Las Vegas









