Google PlusRSS FeedEmail

TIMBALAND AINGIA MAHAKAMANI BAADA YA KUPOTEZA SAA YENYE THAMANI YA $1.8M



Msanii na producer maarufu Timbaland ameamua kuishtaki kampuni ya insurance ,American Home Assurance , baada ya kuchelewesha madai yake ya kupotelewa na saa yenye thamani ya dola za kimarekani 1.8m. Timbaland amedai kua saa yake ilipotezwa na mtoto wake wa kike mwenye miaka miwili, ambaye aliichukua na kuchezea na baada ya hapo kuitupa kusikojulikana. Timbaland ameamua kushtaki na kudai $1.8m na gharama zote za kesi.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging