Soul diva Tina Turner ameamua kuhamia Switzerland moja kwa moja na kuishi na mpenzi wake wa zamani Erwin Bach. Tina Turner, ambae sasa ana miaka 73, anasubiria ombi lake la uraia likubaliwe na uongozi wa Swiss ili aukache Umarekani kabisaaaa!! WHAT'S LOVE GOT TO DO WITH IT??