ALAN KUITWA BABA HIVI KARIBUNI
MUUGIZAJI katika kipindi cha TV soap Alan Halsall ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa hivi karibuni anatarajia mke wake Lucy Jo Hudson atapata mtoto.
Wawili hao walikuta wakati mke wake akiwa mtaani akiigiza kama Katy Harris na wapo katika uhusiano kwa miaka nane.Alani aliandika hivi yeye na mke wangu wana furaha ya kutoa taarifa kuwa wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza. Mashabiki wao walifurahi na kutoma salamu za pongezi kwa wapenzi hao.