MSHINDI WA TUZO YA OSCAR AANGUKA JUKWAANI
MSHINDI wa tuzo ya Oscar katika kipengele cha muigizaj bora wa kike Jennifer Lawrence 22 amekumbwa na mkosi wa kuanguka wakati akiwa anaenda kupokea tuzo yake
Hali hiyo ya kuanguka imetokea baada ya gauni lake refu alilokuwa amevaa kulikanyaga na kiatu chake wakati akiwa anapanda jukwaani kwa ajili ya kupokea tuzo yake hiyo haikumsababisha kuwa na hofu na hatimaye aliweza kunyanyuka na kuendelea kupokea tuzo yake kwa ujasili
Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo alisema "tuzo aliyoipata anaichukua kama changamoto itakayoitumia kufanya kazi kwa juhudi na kuendelea kuwa mbunifu zaidi iliaendelee kukubalika kwa jamii"