Mwanamuziki mahiri nchini Marekani Rihanna ameendelea kuchafua hali ya hewa baada ya kuingiza kwenye mtandao picha inayomuonyesha makalio yake yakiwa nusu utupu
Katika picha hiyo mwanadada huyo anaonekana kuvaa kichupi kitupu huku akiwa amevaa viatu virefu vya ngozi vilivyomfikia mapajani
Kitendo hiko kinadaiwa kuwakera mashabiki wake ambao walisikika wakilalamikia kitendo hiko kuwa si cha kiungwana kwa mtu maarufu kama huyo kufanya hivyo