Google PlusRSS FeedEmail

STEWART APATA TUNZO YA WATOTO



Mtayarishaji wa filamu pamoja na muigizaji wa kike Kristen Stewart wamejinyakulia tunzo ya filamu bora ya watoto katika tunzo za  'Kids Choice' zilizoandaliwa na channel inayoonyesha vipindi vya watoto inayojulikana kwa jina la 'Nickeledeon'

Kwa upande wake muigizaji Stewart alinyakua tunzo ya muigizaji bora wa kike 'Butt-Kicker award' wakati huo pia alikuwa ametajwa kwenye upande wa muziki kutoka kwenye kundi la UK

Tunzo hizo hutolewa kila mwaka ikiwa na lengo moja ya kukuza watoto maarufu wenye miaka 15 kwa pamoja kwa kupiga kura ya kikanda na makundi kwa pamoja na kuchagua yule anayestahili kupokea tunzo hizo za heshima kwa kazi nzuri wanayoifanya

Tv inayorusha na kuongoza mchakato mzima wa tunzo hizo Nickelodeon iliweka wazi kuwa watoto zaidi ya 300 waliwapigia kura washindi na wakati ilikuwa inatarajiwa kuzunguka katika vitongoji vyote ambavyo vitaongeza idadi ya kura na kufikia milioni 350

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging