| Baadhi ya wasanii wakionekana na majozi katika kaburi la marehemu Kanumba leo ikiwa ni siku ya maadhimisho yake ya mwaka mmoja tangu afariki dunia |
| Elizabeth Michael akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Kanumba |
| Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye kaburi la marehemu Kanumba |







