SNURA HASITISHA SHOW YAKE YA UZINDUZI WA MAJANGA MPAKA MSIBA UISHE
Posted on by Unknown
Habari za mchana wapendwa! kutokana na kifo cha msanii mwenzetu ALBERT MANGWEA kilichotokea jana South Africa HATUTOKUWA NA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA MAJANGA. mpaka hapo tutatangaza tena.mungu alaze roho ya marehemu mahara pema peponi amin.