TOPE OSOBA- UHUSIANO BILA YA KUKUTANA NI KUONGOPEANA
Muigizaji Tope Osoba amekata kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, hali hiyo imetokea baada ya kushangazwa na wasanii wengi wa Ghana na Nigeria wamekuwa wakiolewa na wanaume zao kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake
Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazi kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi