EVE AJIANDAA KUWA MAMA WA KAMBO
Rapa Eve anajiandaa kuwa mama bora kwa kuwalea watoto wa kambo wa mumewake mtarajiwa Maximillion.. Hayo aliyabainisha kupitia ukurasa wake wa mbele wa jarida la Sister 2 Sister ambapo ndani yake amebainisha namna anavyojipanga kuanza familia na boi-frendi wake muingereza na jinsi anavyowalea watoto wanne wa mwanaume huyo wenye umri wa kuanzia miaka 4 hadi 10








