Mama yake Arbert Mangwea akiwa ameishikilia tuzo aliyokabidhiwa na Kala Jeremiah
Msanii Kala Jeremia akimkabidhi mama yake Ngwair baadhi ya vyakula ikiwemo mchele, sukari, mafuta
Mama yake Ngwair (katikati) akipokea kanga kutoka kwa mmoja wa wadau wa muziki wa kizazi kipya Morogoro
Familia ya Ngwair wakisalimiana na ujumbe uliongozana na msanii wa hip hop Kala Jeremiah







