MWILI WA ALBERT MANGWAIR WAWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE
Posted on by Unknown
Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshika msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere.