Mwili wa msanii Ngwair ukiwasili katika uwanja wa Jamhuri Morogoro teyari kwa kuanza kutoa heshima za mwisho kwa ndugu , mashabiki pamoja na wasanii waliohudhuria
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamejitokeza kumpumzisha msanii huyo
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwa limewasili katika makaburi ya kanisani Morogoro
Mashabiki wakiwa wamebeba jeneza lilikuwa na mwili wa msanii huyo makaburini
Ibada ya kuombea kaburi ikiendelea kabla ya kuupumzisha mwili wa msanii huyo
Mwili wa msanii huyo ukipumzishwa katika nyumba yake ya milele
P Funk akishangiliwa na mashabiki baada ya kuupumzisha mwili wa marehemu Ngwair














