Msanii wa bongo Muvi Ray Kigosi, Jakobo Steven wakimsikiliza kocha wao kabla ya kuingia uwanjani, ambapo jana walicheza mechi kati ya timu ya bongo movi, na timu ya bongofleva ambapo timu ya bongofleva iliweza kutwaa ubingwa kwa kufunga kwa kutumia penati.
Hapo awali timu hiyo iliongoza kwa goli moja kabla ya mapumziko lililofungwa na Kr ambapo baada ya muda kidogo timu ya bongo movi kwa kupitia mchezaji wake Ray walifanikiwa kurudisha goli hilo na hatimaye kuingia katika kipindi cha matuta na ndipo bongo fleva waliweza kunyakua kombe hilo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.