Google PlusRSS FeedEmail

LOHAN AUKANA UNGA


Mwigizaji asiyekwisha matatizo Lindsay Lohan, ameweka wazi mpango wake wa kuhama maeneo ambayo yalikuwa yakimshawishi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya na unywaji mwingine wa pombe.

Lohan yupo katika kituo maalum cha kuacha matumizi ya dawa 'Rehab' cha Cliffside Centre in Malibu, California, na anatarajia kumaliza muda wake mwishoni mwa mwezi ujao ambapo anasema ataendelea kujificha sehemu ambayo hakutakuwa na waandishi ambao wanachangia kumchanganya

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging