MJUE ALIYEKAMATWA NA MASOGANGE AFRIKA KUSINI Posted on by Zourha Malisa Huyu ndiye Melisa Edward aliyekamatwa pamoja na Agnes Masogange nchini Afrika Kusini wakiwa na madawa ya kulevya ambapo hadi hivi sasa bado hatima yao haijajulikana