Mbunge Estar Bulaya kupitia chama cha CCM na Halima Mdee CHADEMA jimbo la Kawe wakiwa na makocha wao muda mfupi kuingia ulingoni
Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya P Funk Majani akiwa ameshikilia kombe na msanii wa muziki wa kizazi kipya H. Baba naada ya kutwaa kombe hilo jana katika tamasha la matumaini
Msanii wa filamu nchini Unti Ezekiel akimtisha ngumu mbunge wa Mara Estar Bulaya jana katika tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wote waliibuka washindi
Msanii Aunt Ezekiel akimtwika konde mbunge wa Mara
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.