KIMM KARDASHIAN AONEKANA KWA MARA YA KWANZA
Kim Kardashian ameonekana kwa mara ya kwanza kwenye runinga tangu ajifungue mwezi Juni mwaka huu.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 32 ambaye alijifungua mtoto wa kike, North na mpenzi wake Kanye juni 15 alionekana kwa kupitia ujumbe wa kwenye video katika kipindi cha runinga cha mama yake Kris Jenner ijumaa iliyopita.
"Nataka kukupongeza kwa kipindi chako kipya" alisema Kim ambaye alivaa vazi jeupe ambapo alionekana kifuani