MTOTO wa muimbaji wa R&B Usher Raymond aruhusiwa hospitali baada ya afya yake kuimarika.Mtoto huyo (5) anayejulikana kwa jina la Usher Raymond V alipata ajali ya maji wiki iliyopita, baada ya kunusulika kuzama katika bwawa la kuogelea lililoko nyumbani kwa baba yake.
Mtoto huyo baada ya kuzama aliweza kuokolewa na kulazwa hospitali katika wodi ya wagonjwa mahututi ICU kwa siku kadhaa, ndipo afya yake ilipoimarika aliweza kuruhusiwa.
Kamera za TMZ zilimshuhudia Usher Raymond V akiwa na bibi yake wakitoka sehemu ya mchezo ya watoto iitwayo Mighty Jumps iliyoko Atlanta, Marekani huku mkono wake wa kulia ukiwa umefungwa bandage
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.