RIHANNA BALAA
Nyota wa pop, Rihanna alikuwa na muonekano wa kishabiki aliyepagawa wakati akifurahia muziki wa ufukweni na rafiki zake nchini kwao.
Huku akiwa amezungukwa na watu kibao, Rihanna alikuwa amevaa bikini tu alikuwa akinengua na shoga zake hadi chini