TID YUPO 'LOCATION' Posted on by Zourha Malisa Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini TID yupo katika maandalizi ya kufanya video yake ya wimbo unaojulikana kwa jina la Raha aliyomshirikisha Professa Jay.