Google PlusRSS FeedEmail

CHRIS BROWN AWASHANGAA WANAOSHINDWA KUMSAMEHEE




RAPPER maarufu nchini Marekani Chris Brown awashangaa baadhi ya watu wanaoshindwa kumsamehe makosa yake yaliyotokana na matendo yake aliyowahi kufanya kipindi cha nyuma.

Brown anawashangaa ni kwa nini inachukua muda mrefu sana kwa watu kumsamehe kwa makosa aliyowahi kufanya miaka ya nyuma likiwemo la kumpiga aliyekuwa mpenziwe Rihanna







This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging