Google PlusRSS FeedEmail

J-LO,TAYLOR SWIFT KUREKODI PAMOJA


Baada ya kufanya onesho pamoja kwenye wimbo wa Just not Enough wasanii Jenifer Lopez na Tylor Swift wajipanga kushirikiana kutoa wimbo wa pamoja , mtoa habari aliliambia jarida la Us Weekly.

Swift 23, na Lopez 44, wamemaliza mpango huo wa kushirikiana baada ya Lopez kutokea kwenye onesho la Swift  kama mgeni mwalikwa katika ziara ya mwanamuziki huyo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging