Ndoa ya muimbaji Keyshia Cole inaonekana kuyumba baada ya wawili hao kuthibitisha kupitia ujumbe uliotumwa katika mitandao ya kijamii. Keyshia Cole na mumewe Daniel Gibson wanapitia kipindi kigumu cha ndoa yao na wamekuwa wakiandika ujumbe unaonesha kutengana.
Keyshia aliandika kwenye mtandao wa Instagram kuwa "Mji wa Cleveland ulikuwa mtamu kwa mumewangu na mimi pia tumeacha kumbukumbu kubwa hapa "
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.