Baada ya kupata mafanikio kupitia wimbo wake wa 'Nani kamwaga pombe yangu' msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Madee ameweka wazi kutoimba tena nyimbo zenye miondoko ya Hip Hop kwa madai kuwa hizo siyo nyimbo za biashara.
Hali hiyo inadhihirisha ile nyimbo yake aliyoitoa kipindi kilichopita yenye maneno kuwa 'Hip Hop hailipi', hivyo msanii huyo ameweka wazi kuwa nyimbo ya Nani kamwaga pombe yangu ni nyimbo pekee iliyompa mafanikio mbali na kumuongezea mashabiki kibao, lakini pia ameweza kupata show za kutosha zilizopelekea kumalizia nyumba yake, na kumsomesha mtoto wake shule nzuri.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








