Google PlusRSS FeedEmail

TIMBALAND AFUNGULIWA KESI NA MKE WAKE

Timbalend ajikuta kwenye wakati mgumuu baada ya mkwe wake anayejulikana kwa jina la Monique Mosley kufungua kesi ya madai.

Mwanamke huyo ambaye amefungua kesi hiyo ya madai ya talaka, anadai mgawo wa mali za mtayarishaji huyo wa muziki zenye thamani ya dola milioni 80.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging