Rapa P Diddy ametoa siri ya baba yake mzazi aliyejulikana kwa jina la Melvin Combs iliyokuwa ikimtesa kipindi chote hicho kuwa baba yake huyo aliyefariki dunia wakati yeye akiwa na umri mdogo alikuwa ni mfanyabishara wa dawa za kulevya.
Aliweka wazi kuwa anajivunia urithi alioachiwa na baba yake wa kutafuta fedha ingawa yeye anatafuta kwa njia ya halali
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








