JADA PINKETT AKANUSHA UVUMI WA KUACHANA NA SMITH
Jada Pinkett-Smith ambaye hivi karibuni amekanusha uvumi wa kuachana na Will Smith, amefanya jambo adimu kwa wengine la kupiga picha na mke wa zamani wa Will Smith na kuziweka katika mtandao wa kijamii