Muigizaji Jacqueline Wolper, Steve Nyerere, Jokate Mwegelo pamoja na mtangazaji mwenye machachari Salama Jabir wanatarajia kuwa wageni kwenye sho ya wanafunzi wa sekondari Kenton High School, Dar es Salaam ambapo show hiyo imepewa jina la 'Jitambue'.
Mastaa hao wanne watazungumza mbele ya wanafunzi mbalimbali masuala ambayo yatawasaidia kujielewa na kujitambua .








