Kajala ameamua kukanusha habari hiyo kwa kupitia mtandao wa Istagram kuwa amechoshwa na habari hizo ambazo anadai kuwa hazina ukweli wowote juu ya yeye kutembea na mwanaume huyo wa mtu, huku akimtakia ndoa njea mmiliki huyo wa blog hiyo ya mitindo.
"Nadhani namjua huyu dada siku nyingi sana kabla hata ya wengine wenu kumjua tunaheshimiana sana na atujawahi kukoseana sasa sijui nanni alie anzisha habari ya mimi kutembea na mume wake na sijui alifanya ivyo kwa makusudi gani, naumia kila siku kwa ajili ya ujinga wa watu na hayo magazeti nikiwaambia nipeni ushahidi wa kuwa natembea na mume wa Shamim sijui kama mtafanya daa sijui nisemeni nini @8020fashion mpenzi enjoy ndoa yako acha na wapumbavu nimevumilia nimeona bora leo niandike unajua sipendi kuongea lakini gazeti la jana limenikwaza sana" aliandika Kajal








