Google PlusRSS FeedEmail

BRAD PITT AMZIMIA LUPITA



Mume wa Angelina Jolie, anayejulikana kwa jina la Brad Pitt inadaiwa kumzimia mwigizaji Lupita Nyong'o hali iliyopelekea mwanaume huyo kugombana na mke wake kwa kitendo hicho.

Hali hiyo ilijionesha kipindi ambacho wapo kwenye tuzo za watayarishaji wa filamu zilizofanyika Beverly Hills january 19 mwaka huu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging