
Lesego Motsepe LETTI MATABANE AMBAYE alishawai kuwa mwigizaji katika tamthilia ya Isidingo..taharifa ambazo zimesambazwa katika vituo mbali mbali vya Habari kutoka kwa kaka wa Marehemu Moemise Motsepe zinasema kuwa dada yake amefariki mapema jana mchana na madaktari wamethibisha .Lesego Motsepe LETTI MATABANE atakumbukwa sana na wapenzi wa tamthilia ya Isidingo kwa uwezo wake mkubwa aliokuwa akiumudu katika tamthilia hiyo.Na kama utakumbuka mnamo mwaka jana alijitangaza kuwa amekuwa akiishi na virusi vya ukimwi kwa zaidi ya miaka 13..







