Google PlusRSS FeedEmail

MADONNA AKANUSHA UBAGUZI

Mwanamuziki Madonna amekanusha tetesi kuwa anatabia ya kibaguzi, hali hiyo imekuja baada ya kulalamikiwa na watu katika mitandao ya kijamii kufuatiwa na ujumbe ulioandikwa kwenye picha ya mtoto wake.

Kwenye picha hiyo ya mtoto wake mwenye umri wa miaka 13 wa kiume Rocco Ritchie, Madonna aliandika ujumbe uliotafsiriwa kama ubaguzi, hata hivyo baada ya maneno makali kutoka kwa mashabiki juu ya kauli hiyo Madonna aliandika ujumbe akisema kuwa hana nia ya kukashifu wala kukejeli lolote katika ujumbe wake huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging