Google PlusRSS FeedEmail

UCHAGUZI TDFAA TAIFA TAREHE 11.01.2014

                                    mike sangu 408
CHAMA cha waigizaji TDFAA Taifa kimetangaza uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizowazi kwa kwa mujibu wa katiba ya chama hicho, ameeeleza mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Michael Sangu ‘Mike’ na kusisitiza wanachama hai wote kujitokeza na kugombea nafasi hizo kama zilivyotangazwa.Tunatangaza uchaguzi mdogo kwa mujiba wa katiba yetu ya TDFAA, ambao unatarajia kufanyika tarehe 11/January/2014, nafasi zinazotakiwa kujazwa ni wajumbe wane wa Bodi na tayari maandalizi yamekamilika kila mwanachama mwenye sifa za uongozi ajitokeze kugombea,”anasema Mike.

Fomu za wagombea zinapatikana katika ukumbi wa CCM Mwinyijuma Mwananyamala kwa gharama ya Tshs. 10,000/ tu, na mwisho wa kuchukua fomu itakuwa tarehe 07.January. 2014 mwenyekiti anasisitiza kufika kuchukua fomu hizo ili kujenga tasnia bora kwa kuwa na viongozi bora.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging