Google PlusRSS FeedEmail

PRO-24 DJ'S KUKIWASHA TBC ONE, HOTZONE


MA-DJ wa Pro-24 baada ya kumaliza likizo yao  kesho kuanza tena kipindi chao cha Hotzone kinachorushwa katika televisheni ya Taifa TBC One.

Kipindi hicho ambacho kinaongozwa na madj hayo wa pro -24 ambapo wanarusha  video mixing za nyimbo tofauti tofauti za ndani na nje ya nchi .

Baadhi ya madj wa kundi hilo watafanya shoo hiyo ambapo pazi la burudani hiyo litafunguliwa na Dj Dea, Micho, Pack, Pirlo, Cobo, Mecco, seven kwa upande wa madj wa kike watakuwa Dj Sinyorita, pamoja na Dj Shana.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging