Mwanamuziki wa kike Rema Namakula amekanusha ya kuwa hv sasa ana ujauzito wa mwanamuziki mwenzie Peter Miles,Rema amejikuta akiingia katika uvumi huo..mara baada ya afya yake kubadilika huku akionekana ameongezeka uzito na umbo lake.na alipohojiwa alisikika akisema Mimi sina ujauzito na hao wanaosema nina mimba wajue sina ni kweli nimenepa sana ila kunenepa kwangu sio kwamba mimi ni mjamzito.na aliongeza kuwa mpaka sasa hajapanga kupata mtoto kabisaaa labba baadae sana ..Rema na Miles wako katika mahusiano kwa muda sasa