Google PlusRSS FeedEmail

TUZO ZA KILIMANJARO ZAZINDULIWA


Tuzo za muziki Tanzania, (Kilimanjaro Music Awards) zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam  ambapo watanzania wamepewa nafasi ya kupendekeza majina ya waimbaji watakaowania vipengele 34 vinavyoshindanishwa.

Akizungumza katika uzinduzi huo meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe amesema kuwa tuzo hizo zinakuwa kila mwaka hali inayoonesha kuwa kukubalika kwa tuzo hizo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging