Google PlusRSS FeedEmail

TWANGA PEPETA BADO INAENDELEA KUNG'ARAA

BENDI ya Twanga Pepeta bado inaendelea kujidhihirisha kuwa wao ni wakali wa muziki wa bendi nchini Tanzania kwa kuendelea kutoa burudani mbalimbali ndani ya mkoa wa Dar es Salaam.

Hizi ni baadhi ya picha mbalimbali zikiwa zimepigwa ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni wakati wa onesho maalum la Castle Light na Twanga Pepeta mwishoni mwa wiki.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging