Google PlusRSS FeedEmail

BASATA WAWATOSA JUX, SNURA NA MADEE TUZO KILL

BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA), limetengua baadhi ya nyimbo za wasanii kuingia katika kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Music Awards zinazotarajiwa kufanyika mwezi wa tano mwaka huu katika ukumbi wa Mlima City.

Akizungumza na Pro -24, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godgrey Mngereza alieleza kuwa wamefikia hatua ya kuzuia baadhi ya nyimbo za wasanii watatu akiwemo Madee, Snura pamoja na Jux kwa kigezo kuwa nyimbo zao hazimevunja maadili.

Alisema kuwa wamezingatia kigezo cha maadili hali iliyopelekea kuengua baadhi ya nyimbo ikiwemo Uzuri wako, Nimevurugwa pamoja na Tema mate tuwachape, ambapo nyimbo hizo ndizo zimeonekana kukosa maadili.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging