MUIGIZAJI wa kike kutoka nchini Kenya, Lupita Nyong'o ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Oscar katika kipengele cha muigizaji bora msaidizi wa kike ambapo filamu ya utumwa '12 years a salve 'ndiyo iliyompa ushindi huo.
Kisha Lupita akaongeza kusema, " Na iwe ukumbusho kwangu na kila mtoto kwamba kokote unakotoka, ndoto zako ni halisi.''
Sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo zimefanyika mjini Los Angeles nchini Marekani.









